Huu Uzi baada ya miezi miwili tutarajie kutamalaki kwa nyuzi zenye vichwa vifuatavyo..
1. Wanaume wote Ni sawa tu mxiiiiiieeewwww
2. Amenigegeda akaniacha
3. Wanawake punguzeni kudanga mtatuua
4. Sitasahau alichonifanyia yule hayawani baada ya kwenda kwake.
5. Wanawake tujifunze kutokana na makosa
6. Hivi wanawake wa Dar mtaacha njaa lini ??
Za Sakayo nasoma maana nishakula mahari ya watu wa3 then akakwapuliwa na mwingine, wakasamehe.
Huyu wa4 ni mtu poa sana naogopa mahari yake kwenda burebure.
Za Sakayo nasoma maana nishakula mahari ya watu wa3 then akakwapuliwa na mwingine, wakasamehe.
Huyu wa4 ni mtu poa sana naogopa mahari yake kwenda burebure.