Afadhaliβ¦
Leo naona nitalipwa madeni yangu
Ka oficial dress kametulia
Kuajiriwa ni kugumu basi tu, tena uwe na kazi zile zinazotaka weekly, monthly na qouters report utaona maisha magumu
Asbh uwaze kutoka kitandani mpk ujiandae ufike ofisini, ukifika unawaza breakfast na lunch time. Ukishashiba unawaza muda ufike uondoke
Ikifika alhamis unashusha pumzi, at least week iko ukingoni.
Waliojiajiri nao wana malalamiko yao mengi sana , ni vile tu hatujawasikia.
Baki hukohuko nkamu π€£π€£π€£Thank you Nkamuβ¦.basi nipambane tu na kuajiriwa ingawa kuamka asubuhi daah huwa natamani kulia
Mimi sio mfuasi wa mashetani wala hao livakuku πΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈUlianza vizuri ila hapo mwisho ndiyo umeharibuπ’
Usiwape kichwa Mashetani bhana
HalwaHuwa tunavumilia mengi sana ila sio Kuibiwa Mke lakini
Kuna watu tunatafuta ajira na hatujapata..tunafanya hizo biashara unazosema na tunateseka usiku kucha kuzunguka kuuza barafu,,ukisema ujipe likizo ndio utashinda njaa hiyo siku.
Ukiwa nayo unamshukuru Mungu nkamu.
Mara ya 2 umeongea hili humu.
Nkamu wewe siyo wa kunihujumu
Kuna watu tunatafuta ajira na hatujapata..tunafanya hizo biashara unazosema na tunateseka usiku kucha kuzunguka kuuza barafu,,ukisema ujipe likizo ndio utashinda njaa hiyo siku.
Ukiwa nayo unamshukuru Mungu nkamu.
Mara ya 2 umeongea hili humu.
Ila mashabiki wa Arsenal wanavutia.. wako na zile physical appearances safi kabisa.
Ni kama vile asilimia kadhaa ya ma gents na ma beautiful ladies walienda Arsenal
Source: rafiki zangu na ndugu zangu
Nasema sitokii nasubiri sekfie matata ya boss wangu
Hapo umenifurahisha, haya nitumie namba ya MPesa nikutumie hela ya Bia 5Mimi sio mfuasi wa mashetani wala hao livakuku πΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈ
Niko zangu Arsenal kwa mahendsam boys π€
Haya naomba zawadi π€Έπ»ββοΈ
Leo sijavaa Miwani yangu lakini nimeweza kuona Pisi Kali.
JF is blessed
Ndiioooo wangoni hoooyeeeee
Usianze tafazali πΉeeeeh ndyoooooo yaan, afu wana Yale magonjwa nyemelezi, afu wana pesa ndefu.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
VVD huyuWakati huo akina VVD watakuwa wapi kumkaba
Nyie msipokaa sawa mechi zote zinazofata mtapoteza kama siyo kudrawtukutane mwisho wa msimu, tusianze mbwembwe nyingi, macho yatathibitisha.
Tusubiri kuona.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ukiona hadi Kizee miye nimeweza kuona bila miwani ujue you are on fire π₯π₯π₯π₯mwee mwee
Pa kunipata unapajua πΆπ»ββοΈHapo umenifurahisha, haya nitumie namba ya MPesa nikutumie hela ya Bia 5