Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,228
Na Lile range Rover Lile,yeye lile ni la kushindiaAfu nkamu usikute lile li-vi8 nalolionaga ni lako eeh?
Na Lile range Rover Lile,yeye lile ni la kushindiaAfu nkamu usikute lile li-vi8 nalolionaga ni lako eeh?
[emoji16][emoji16][emoji16] taratibu basiNapajuaje Isyesye? Ngoja siku ntakuvizia nikuphotoe[emoji17][emoji17]
Sio langu mbona [emoji3] hivi Kuna gari za kushindia?Na Lile range Rover Lile,yeye lile ni la kushindia
Huyu anataka atufukuzie watupia vocha wetu[emoji1787][emoji1787]
Kwa waadventistaWewe katekista wa kisabato unaijuaje Manyara
Huna hili Wala Lile Unakuta kajoyce kanauza maandazi njiapanda ya sijabaje,unapindua meza na vieite😃Sio langu mbona
Nitake radhi arif[emoji1787][emoji1787]Wahuni utawajua tu [emoji3]
Kwa zile plate numbers; lazima nitakupata tu😀😀[emoji16][emoji16][emoji16] taratibu basi
Sio rahisi hivyo kuacha picha ikae muda mrefu hivyo.@Nuzulati
Umetoka kuwasema wenzio
Sasa umefanya nini
Ebu irudie rafiki
Aah na la kwendea sokoni ni lipi?Na Lile range Rover Lile,yeye lile ni la kushindia
[emoji1787]Kama kawaida yako[emoji3]
Kwanini usiende kulala hostel za missionNitake radhi arif[emoji1787][emoji1787]
Thubutuuuuu! Niliifuta palepale nikairemuvu pamanentli hadi kwenye trashSiku ule ulitupiga chenga ya mwili Bosi Ledi. Video umei-trim tunaona. Video imeload tunaiona hivi mpaka imefikia 100%. Halafu ukala kona dah!
Tuliokuwa tunaisubiria siku ile tufikiriwe kwa kweli hata kama ni PM [emoji16]
Bosi Ledi unasemaje?
..............picha ya Jana...!!!??! UsiulizeYa nini tena?
Kuna mtu nilijua tu atakuta stori za wasomali na picha hajaona😂Kwa hiyo na wewe umejifunza tabia yetu ya kufuta?
[emoji3][emoji3][emoji3] weeeeeeeHuna hili Wala Lile Unakuta kajoyce kanauza maandazi njiapanda ya sijabaje,unapindua meza na vieite[emoji2]
HahahaaaMweee[emoji2296]
Boss ledi leo umekaza[emoji1787]
Basi tuendelee kuselfika
JidanganyeKuna mtu nilijua tu atakuta stori za wasomali na picha hajaona😂
Hahaaaaaa. Ya duniani utayaacha. Rudi njia kuu mapema Sana.Kwa waadventista
Hakuna ma katekista
Kuna wachungaji
Kuna mashemasi
Kuna dorikas nk
Nimezaliwa nikalelewa na kukulia humo
Dunia ikawa tam zaidi[emoji1787][emoji1787]
Hahahaa na Mimi nitakupata tuuKwa zile plate numbers; lazima nitakupata tu[emoji3][emoji3]