Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,226
[emoji23]Nilisahau sio isyesye Ni isanga [emoji3]
Kwahiyo unamaanisha nini kwa sisi wa mabatini?
[emoji23]Nilisahau sio isyesye Ni isanga [emoji3]
Wewe katekista wa kisabato unaijuaje ManyaraIringa imekaa kikoloni koloni
Mitaa kama uhindini
Sijui uzunguni
Manyara lodge ipo iringa
Chocho flan amazing[emoji1787]
Ya pizza mpendwa ama kuna nyingine uliwekaYangu si unayo mpendwa? Nilipoweka hapa ulilaiki.
Wahuni utawajua tu [emoji3]Iringa imekaa kikoloni koloni
Mitaa kama uhindini
Sijui uzunguni
Manyara lodge ipo iringa
Chocho flan amazing[emoji1787]
Kwa hiyo na wewe umejifunza tabia yetu ya kufuta?Shukrani,niko peke yangu labla nisubiri mtu anifotoe moja
Wa mabatini nyinyi Sasa Ni special case [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
Kwahiyo unamaanisha nini kwa sisi wa mabatini?
Mama mchungaji yataka moyo ujue nimejikuta tu nimefutaKwa hiyo na wewe umejifunza tabia yetu ya kufuta?
@NuzulatiMashallah mwanamke stara, ungeweka yoote juu mpaka chini na wengine wajifunze
Wacha weeeeeeAsante mpendwa ni mke tayari na ni mama wa watoto 3 kwa sasa
[emoji1787][emoji1787]Najiwekaje Sasa au kutupia vocha hapa za buku buku ndio uboss [emoji3][emoji3][emoji3]
Kama wewe unavyonikomeshagaKwa hiyo na wewe umejifunza tabia yetu ya kufuta?
Afu nkamu usikute lile li-vi8 nalolionaga ni lako eeh?Shida inaanza Mimi sio boss hapo Sasa kwettu isyesye [emoji3]
Hahaha wewe umezidi aiseeKama wewe unavyonikomeshaga
[emoji1787][emoji1787]Umefuraaahi[emoji3]
Ila shukrani Sana.Hahaha wewe umezidi aisee
Nakuelewa kwa kweliMama mchungaji yataka moyo ujue nimejikuta tu nimefuta
[emoji3][emoji3] sio langu nkamu Mimi ukiiona vitz ndio yangu Sasa na wew unapajua isyesye [emoji15]Afu nkamu usikute lile li-vi8 nalolionaga ni lako eeh?
Kama kawaida yako😀[emoji1787][emoji1787]
Sijui kununa
Sikuzaliwa hivyo
Hili pepo la kufuta picha bila kujijua inabidi likemewe kwa jina la yesuu kwa kweli@Nuzulati
Umetoka kuwasema wenzio
Sasa umefanya nini
Ebu irudie rafiki
Napajuaje Isyesye? Ngoja siku ntakuvizia nikuphotoe😔😔[emoji3][emoji3] sio langu nkamu Mimi ukiiona vitz new model ndio yangu Sasa na wew unapajua isyesye [emoji15]