Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee. Karibu shem wa moyo
Shem leo nilikua kwenye mkutano wa chama kule Itope kama unaelekea talatala karibia Kajunjumele

Vijana wa hovyo hovyo kutoka Ileje walileta fujo tukalazimika kumaliza kabla ya muda

Yote kwa yote ubarikiwe sana shem dada.

Hello x 6

hahah.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HS hebu chukua mtu wako[emoji1787]
Ama tumwiteje kijana wetu mwenye damu ya kimbarali? hizi suggestions hapa;-

Lughano
Lupombe
Lusako
Ludewa
Lusekelo
Lujamvini
Lutengano
Lumumba
Lusajo
Lujumbe
Lubrown
Lumuliko
Lubialwetu
Lucrimea
Luitwege
 
Dah
Umezingua sana mwanangu[emoji26]

Isije ikawa ulizidisha pombe aiseee[emoji23]ukamchanganyia na stori za mwamposa(kidding)
[emoji3][emoji3][emoji3]hamna bwana pombe kwa kiasi Kama maandiko yanavotaka ule usomi usomi Mara kazi bank wale wahuni wanaochomekea bank wakanizidi swaga Mimi mshamba wa isimani
 
Back
Top Bottom