Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,180
- 11,263
Ustaadhat karibu iringa tuanzishe familia Niko tayar kuitwa abdulrahman kwaajili yako
Ustaadhat karibu iringa tuanzishe familia Niko tayar kuitwa abdulrahman kwaajili yako
😬😬Daaah ningepewa tenda hii
Sasa pm tutakuonaje ulivyo boss???Mtumishi hamna kazi hapo tusidanganyane ukiishiwa vocha leta bill Pm fullstop
Dah! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ustaadhat karibu iringa tuanzishe familia Niko tayar kuitwa abdulrahman kwaajili yako
Asante mpendwa ni mke tayari na ni mama wa watoto 3 kwa sasaUstaadhat karibu iringa tuanzishe familia Niko tayar kuitwa abdulrahman kwaajili yako
Ntakukumbusha Mimi mwenyewe[emoji51][emoji51]
Yes pale MiamiLockdown, Secreto na kule juu kitanzini panahappen kuanzia alhamisi.
Naisubiri yako mpendwa wangu🥰❤️Asante sana mpendwa. Angalau leo nimekuona laivu uwii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]. Nitaendelea kuzeeka vizuri sasa. Ubarikiwe sana mpendwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Faza wangu vipi unataka uanze kunibania mtotoDah! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Vijana bwana. MkuuDah! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe mbona hujiamini wakati Isyesye ndio kwa kishua mbeya nzimaShida inaanza Mimi sio boss hapo Sasa kwettu isyesye [emoji3]
Umefuraaahi[emoji3][emoji1787]
Nilisahau sio isyesye Ni isanga [emoji3]Wewe mbona hujiamini wakati Isyesye ndio kwa kishua mbeya nzima
Huo huo[emoji23]Najiwekaje Sasa au kutupia vocha hapa za buku buku ndio uboss [emoji3][emoji3][emoji3]
Yangu si unayo mpendwa? Nilipoweka hapa ulilaiki.Naisubiri yako mpendwa wangu[emoji3059][emoji3590]
Sasa muwe mnafuta tukiona[emoji53]Najiamini sana tu
Sipendi tu ikae muda mrefu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huo huo[emoji23]
Ni viashiria vya uboss
Iringa imekaa kikoloni koloniNgoja tumsubiri. Kule juu ulisema uko Dodoma. Najua anajua uko Dodoma. Na yeye Dodoma huwa anapakana vibaya mno. [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndiyo maana aiseeMsomali kwa baba mzigua kwa Mama