Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bro, we si unakataaga hauko Dom wewe? Tena unaikandia Dom balaa eti huwezi kukaa mji umejaa vumbi hauna maji na ulishapita tu mara moja. Leo vuu bin vuu uko Dom? Umetoka lini mkoani?

Nayanga bojo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Inawezekana Yuko iringa anajua Mimi nipo maskani iringa kumbe Leo nipo idodomya
 
Dah[emoji2]
Unatupiga chini hivihivi wazee wa Sangu

Fikiria mara 2 boss ledii kile kicheko utakuwa unacheka[emoji23]
🤣🤣🤣🤣 Hakuna kicheko kinachozidi anichekeshacho bosiii wanguu yani anikosha anikonga mpaka kumoyoo!!! hahahaaa piga kelele kwa bosii akeeeeeeeeeee🤸🤸🤸🤸🤸😂😜😜😜😜!!
 
Fanya tu kuniandalia kabisa, nifikie kula tu. Sijui ntaweza kuila sasa, nishazoea makatapela mimi
Nakuandalia kweli. Na chicken wings ziko tayari. Na mvinyo mwekundu usiolewesha (unalainisha tu). Ole wako usitokee Mtumishi. Mtiti wake Misungwi nzima watajua! [emoji16][emoji16][emoji16]

20220316_103713.jpg
 
Back
Top Bottom