Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Njoo tule nimeivisha. Au nawe unataka baga na pizza? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
IMG-20200524-WA0046.jpg
 
Mshindwe kabisa....Bosi wangu anitosha mie 🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️ Anne huo ukuwadi nuksi mungu anakuona ujue 🤣🤣🤣😂😜
Dah unamtolea mbali bro[emoji23]

Naye ni mtu na kipande kama wewe tu,Tena atakuwa anakuchekesha 24 hrs..
Unaonaga navyokuchekesha unacheka ,yeye utacheka mara 4 zaidi yangu[emoji3059]
 
Back
Top Bottom