Hapana cc usiwe na jazba, calm down.
Huyu hapa kuna siku walibishana na member fulani, hadi akamuuliza swali, alimuuliza wee unatokea ukanda wa senene au migebuka, yeye akajibu hapana, baadae mwenzake alimuambia una tabia za watu asili ya huko, sasa mie nilijua labda kisa anapost yuko maeneo expensive tyuuh na vyakula ghali,
Sasa leo kupitia comments zake ktk hii mada ndo nimegundua hilo.
Anisamehe kwa kusema ukweli, sijataka niwe mnafiki kwake, najua nyie ni watu mnaoelewana, ila kwa leo nimejua uhalisia wa kitu fulan.
Sent from my Infinix X652C using
JamiiForums mobile app