Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Too much usasa nao ni ulimbukeni tu linapokuja suala la maadili kidini, hata kimaadili ya ktz tu ukiweka usasa mwingi wananchi tutakushangaa kidogo.

Umagharibi usitujae vichwani tukaanza kushangaa wengine na mitizamo yao.

Mimi Monday to Friday , frm 0730 to 1700 naspend sana muda na Walokole. Nawajua kwa kiasi, siwezi mshangaa SA anavyoshangaa pombe wala short clothes’ hapa ni zile zilizojuu ya magoti.

Hapa mnashupaza shingo sababu ni mnatype tu, I’m sure hamuwezi ruhusu watoto wenu wavae sket iko katikati ya mapaja na mkayafurahia.

Keyboard warrior.. I rest my case
Tchao
Unafikiri kuna mtu anafurahi kinacho vunja maadili? haya niambie dhambi ya mtu kuvaa kaptula niambie dhambi ya kuvaa kimini.. Issue hatuigi western ila kaa ujiua hao western wana drive mtindo wa maisha yako kwa sehemu kubwa sana.. wazee wetu walikuwa wana vaa magome matako nje mapaja nje huyo wa western wakawaletea nguo.. kwenye nguo kuna selection.. kutoka na style na design ya mtu anayotaka.. msipangiane kwa kigezo cha ku term mavazi katika nguo.. mavazi mjue kwanza yanakaa wapi katika maisha ya imani..
 
Dogo nae anachukulia serious Sana watu Wana maisha tofauti humu usifikiri wote wakusoma kisa tunajitoa ufahamu
Mtu akikusoma unavyoandika anaweza akatetemeka.
Sasa haya haya maandishi akusikie unaongea,atacheka azimie.
 
Too much usasa nao ni ulimbukeni tu linapokuja suala la maadili kidini, hata kimaadili ya ktz tu ukiweka usasa mwingi wananchi tutakushangaa kidogo.

Umagharibi usitujae vichwani tukaanza kushangaa wengine na mitizamo yao.

Mimi Monday to Friday , frm 0730 to 1700 naspend sana muda na Walokole. Nawajua kwa kiasi, siwezi mshangaa SA anavyoshangaa pombe wala short clothes’ hapa ni zile zilizojuu ya magoti.

Hapa mnashupaza shingo sababu ni mnatype tu, I’m sure hamuwezi ruhusu watoto wenu wavae sket iko katikati ya mapaja na mkayafurahia.

Keyboard warrior.. I rest my case
Tchao
Nyani aoni kundule rudi nyuma kwenye history, angalia kati kati na angalia mbelee.. usikulupuke kujibu usichoe elewa kilipotokea kilipo na kinapo elekea.. bradifakini😎😎
 
Unafikiri kuna mtu anafurahi kinacho vunja maadili? haya niambie dhambi ya mtu kuvaa kaptula niambie dhambi ya kuvaa kimini.. Issue hatuigi western ila kaa ujiua hao western wana drive mtindo wa maisha yako kwa sehemu kubwa sana.. wazee wetu walikuwa wana vaa magome matako nje mapaja nje huyo wa western wakawaletea nguo.. kwenye nguo kuna selection.. kutoka na style na design ya mtu anayotaka.. msipangiane kwa kigezo cha ku term mavazi katika nguo.. mavazi mjue kwanza yanakaa wapi katika maisha ya imani..
Emu ngoja nikutoe mchezoni

🤣🤣🤣🤣

Incoming call 📲
 
Wala sio kwa ubaya hata, kuna baadhi ya comments hazikufaa uziweke vile, sorry km nimekosea.
Relaaaaax bhanaaa, tuendelee kuselfika.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Unataka kunifundisha cha kuandika au nikupe ID uandike unavyotaka 😀😀😀.. alafu hii ni chirt chart ukija serious unaumiza kichwaaa 😂😂😂😂.. hakuna mjadala serious hapa.. kama unashapaza hadi kichwa shauliyako.. mie toka asubuhi nime chili kitandani kaja wa kumpumzikia nime mpumzikia badae natoka hapa yanaishia hapa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom