Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Tuanzishe vita ya mimi na wewe 😃😃😃 unaishi kwenye nyumba ya vioo alafu unamzingua mtoto wa mbwaaa mbona utapaa hapa 😎😎😎Ujue mimi nikikusema utalia??
Haya..
Hurry up…
Stop trying me.
Tuanzishe vita ya mimi na wewe 😃😃😃 unaishi kwenye nyumba ya vioo alafu unamzingua mtoto wa mbwaaa mbona utapaa hapa 😎😎😎Ujue mimi nikikusema utalia??
Haya..
Hurry up…
Stop trying me.
Tena huu mchezo anao Heaven Sent na TinsleyHivi kwa nini mnaweka picha na kufuta haraka ina maana tuwe online massa24 sijapenda kwa kweli![]()
Nipo dodoma Kaka Pana roho mbili zinakinzana hapa hatari Ila naona Ile roho nyingine inakaribia kushinda pambano pale bambalagahapa nimekaa na toto ya kijamaicha imeisha nivuruga ubongo wangu.. ina magonjwa yangu yote.. tatoo moja matata kwenye shingo na mkononi kipindi kala vikuku flani hivi alafu mzigo.. hiii bagoshaaa vita ni kali sanaaa![]()
Live it
Love it 😍
Abeeeeeeee.Tena huu mchezo anao Heaven Sent na Tinsley
Hivi kwa nini wana tabia mbaya mbona zetu toka mwaka juzi zipo humu hatufuti wala😬Tena huu mchezo anao Heaven Sent na Tinsley
Nawewe umeanza kunijaza mjep siaminiiiiiii!🙄Madam wewe ni wa anga zingine🙌
Saint Anne simfikii hata robo😅
🤠🤠🤠 tutashinda ila tukiwa tumechoka sanaaaNipo dodoma Kaka Pana roho mbili zinakinzana hapa hatari Ila naona Ile roho nyingine inakaribia kushinda pambano pale bambalaga
Hahahahaa wew mpambe utaweza chelewesha majibu kwa maslahi yako binafsiRaha ya vocha ni sandakarawe
Tugombaniane hivihivi ,aliyelalia kulia siku hiyo aipate.
Tupia sasa hapa nianze kukupigia promo Kwa boss ledi...nikubrand![]()


kwendraaaa 😎😎😎Ahsanteni kwa kunisaidia muda kupotea
Finally it’s 1700
Nikanyonyeshe watoto sasa
D was here 🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️
Raha ya vocha ni sandakarawe
Tugombaniane hivihivi ,aliyelalia kulia siku hiyo aipate.
Tupia sasa hapa nianze kukupigia promo Kwa boss ledi...nikubrand![]()
Tuko pamoja Boss Lady. Nyanya zangu zinakaribia kuiva. Na dengu zinaendelea vizuri huku Misungwi. Tukutane wakati wa mauzo mwezi wa tano nasi tukale baga na pizzaMsukuma wee chizi ujue!!![]()



Wengine tunashitujikia balaa ndo maana tunawahi kuzifuta .Tena huu mchezo anao Heaven Sent na Tinsley
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😘😘😘😘✌️✌️✌️Tuko pamoja Boss Lady. Nyanya zangu zinakaribia kuiva. Na dengu zinaendelea vizuri huku Misungwi. Tukutane wakati wa mauzo mwezi wa tano nasi tukale baga na pizza![]()
😃😃😃😃.. hapa nikitoka salama naenda kutoa shukrani.. mtu mwenyewe charming akitabasamu hadi roho inafurahiShetani anakaribia kuuteka mji mkuu![]()
Usifanye hivo mama boss ongeza boss unapata boss squareWeee Anne Sitaki mie.... bosiii wangu mkubwa mkubwa anitosha miee akhaaaa!!!![]()
