Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,831
Naam!Nilituma hii mkuu ! View attachment 2152993
Boss Lady kaingia. Nani anabisha sasa? Nani??????? [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Naam!Nilituma hii mkuu ! View attachment 2152993
Mjep Anne kakuambukiza upambe sio!![emoji118][emoji118]!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aliyesema wakubwa wanafaidi hakukosea
[emoji7]
Eeh kaka.. ndio nimetoka ndani nimeona nishtue kwanza tumbo.. badae nkatafute ka mbuzi choma kidogo alafu leo alahamisi weekend inaishilizia 😃😃😃Kaka hii misosi ndio wanaita Baga sio [emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji118] msukuma nawewe mpambe sio!![emoji1787]Naam!
Boss Lady kaingia. Nani anabisha sasa? Nani??????? [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Raha ya vocha ni sandakarawe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wew ukitaka vocha njoo PM hapa Ni sandakalawe
Madam wewe ni wa anga zingine🙌Mjep Anne kakuambukiza upambe sio!![emoji118][emoji118]!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nije kukuna 😃😃😃.. nina steel wire mpya kabisa hapa inahitaji wanao msaidia mu Ukraine😂😂😂😂
MaskiniiiiAnawashwa washwaa acha nijipange nichukue steel wire nikamsuguee aache kurukia vita ya ukraine atapusuka
EwaaaNilituma hii mkuu ! View attachment 2152993
✌️✌️✌️😘✌️✌️😜🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Ni balaaaa........👌
Ahsante boss lady🙏
Ujue mimi nikikusema utalia??Nije kukuna 😃😃😃.. nina steel wire mpya kabisa hapa inahitaji wanao msaidia mu Ukraine
hapa nimekaa na toto ya kijamaicha imeisha nivuruga ubongo wangu.. ina magonjwa yangu yote.. tatoo moja matata kwenye shingo na mkononi kipindi kala vikuku flani hivi alafu mzigo.. hiii bagoshaaa vita ni kali sanaaa 😃😃😃😃Kaka hii misosi ndio wanaita Baga sio [emoji3]
Mi sijatetereka katika misimamo yangu kukuhusu wewe tangu dei wani. Wewe ni Bosi Ledi wa ukweli 100% na daima utabakia hivyo. Yaani hata Zali wa Dayamondi Pulatinamuzi akasome na ubosiledi wake feki [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji118] msukuma nawewe mpambe sio!![emoji1787]
Ewaaa
Tuone vaa tishirt fupifupi kidogo kuliko hiyo.
Aiseeee nikiwa mkubwa nataka niwe na shepu nzuri kama hii,nisiwe tukunyema.
Live itNilituma hii mkuu ! View attachment 2152993
Shetani anakaribia kuuteka mji mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hapa nimekaa na toto ya kijamaicha imeisha nivuruga ubongo wangu.. ina magonjwa yangu yote.. tatoo moja matata kwenye shingo na mkononi kipindi kala vikuku flani hivi alafu mzigo.. hiii bagoshaaa vita ni kali sanaaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nenda sina haja hata ya kukupisha kula kushoto kula kulia ufike unapo kwenda 😃😃😃😃😃 unajua engine kupoa weweMaskiniiii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona mfa maji sasa?
Haya kunywa maji ipoe, poza engine ilo maana limepiga mileage ya kutosha. And next time stop putting too much seriousness on joke stuffs 🤸🏻♀️😹😆😆
Pyeeeeee
Muone
Ati nimerukia vita, wakati wewe ndiyo uliibukia comment yangu.
Emu nipishe niende zangu 🚶🏻♀️🚶🏻♀️
Msukuma wee chizi ujue!!🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌Mi sijatetereka katika misimamo yangu kukuhusu wewe tangu dei wani. Wewe ni Bosi Ledi wa ukweli 100% na daima utabakia hivyo. Yaani hata Zali wa Dayamondi Pulatinamuzi akasome na ubosiledi wake feki [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Si tunaangalia tu mshepu halafu na mimi naenda kufanya mazoezi gym niipate kama hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anne Wee mwanamke mwenzangu ujue hio tshet fupi kwioo!![emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787]