Tuna hesabiwa haki bure kabisa kwa ajiri ya Damu yake aliyo mwaga msalabani.. hatu hesabiwi haki kwa kazi na matendo ya mwilini au kazi zetu.. bila hivyo Kristi alijitaabisha msalabani
Biblia haina maana hiyo, na haisemi kwasababu Neema ipo haimaanishi tutende dhambi, sie tulio ifia dhambi pamoja na Kristo kwa Imani inakuwaje tuishi tena katika dhambi? la hasha tumekufa pamoja na Kristo, tumefufuka na kristo tumuishie Mungu tuzae matunda yapasayo toba na haki