Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
Wanaoonekana Mungu alipata shida kuwaokoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naenda kumtembelea dada yako; ila amesema haongozani na watu kama mimi
Utaongozana na mwenzio
Wanaoonekana Mungu alipata shida kuwaokoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naenda kumtembelea dada yako; ila amesema haongozani na watu kama mimi
Karibu tena bossNipo, nimerejea tena jukwaani dadaangu. Si unajua tena majukumu.
Eeh nishakuonaMimi huyu??
Hahahahaha kwendraaaa. Mungu tunaye na pedo tunagongaWanaoonekana Mungu alipata shida kuwaokoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaongozana na mwenzio
Mtaongozana wenyewe bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahaha kwendraaaa. Mungu tunaye na pedo tunagonga
AiseeeEeh nishakuona
tena ka kwendreee kabisaaa ... umepitwa... 😃😃😃Hahahahaha kwendraaaa. Mungu tunaye na pedo tunagonga
Ndio unamleta nyumbani akiwa uchi hivi?tena ka kwendreee kabisaaa [emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2152761
wewe unaujui uchi 😎😎😎Ndio unamleta nyumbani akiwa uchi hivi?
Kama hivyo anatakiwa akae mkiwa pamojawewe unaujui uchi [emoji41][emoji41][emoji41]
😃😃😃😃 akiwa barabarani shida haipo piaaa.. we mtoto unazeeka mapemaaaKama hivyo anatakiwa akae mkiwa pamoja
Kama haoni shida barabarani aiseee[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] akiwa barabarani shida haipo piaaa.. we mtoto unazeeka mapemaaa
Khaaa em nimuone tenatena ka kwendreee kabisaaa ... umepitwa... 😃😃😃
Hizo sio shida zetu; kama najiona vile utafikiri tumetoka mbeleeeeeez. Ngoja twende Ile vacation yetu, utajua haujuiMtaongozana wenyewe bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani katika hili ntawakazia hadi mwisho[emoji16]
Roho hakai kwenye mavazi... maaana hata wewe mavazi unayo vaa wasabato watakuambia huna Rohoo.. 😃😃😃😃.. acha mtoto apunge hewaKama haoni shida barabarani aiseee
Akacheck vizuri uhusiano wake na Roho.
Hahahaaa...,.... umeanza Anne!!Boss lediii
Huu ukimya tuna imani unakuja kushusha picha matata .[emoji91][emoji91][emoji91]
Hujawahi tuangusha kabisa katika hili
Kuna uhusiano katika ya wokovu na mavazi.Roho hakai kwenye mavazi... maaana hata wewe mavazi unayo vaa wasabato watakuambia huna Rohoo.. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].. acha mtoto apunge hewa
Eti wasabato[emoji1787]Roho hakai kwenye mavazi... maaana hata wewe mavazi unayo vaa wasabato watakuambia huna Rohoo.. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].. acha mtoto apunge hewa