Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Ndio maana nikasema ni tabia ya mtu na mtu kuna wapenda zawadi kuna wapenda hela kuna wapenda sex kila mmona ana tabia yake .. mkuu unatuma hela eeh! Hongera πππMimi niliokutana nao wengi wanapenda zaidi kupewa na mwanaume. Na wengine wanapenda vitu sio Hela.
Kuna mmoja nilimtumia Hela ya sikukuu anunue nguo akaniambia anajiskia raha nikimnunulia nguo kuliko kumpa Hela. Ni tabia ya kike, unajua twapaswa kuwatunza.
Sometimes yes, tuwang'arishe mkuu.Ndio maana nikasema ni tabia ya mtu na mtu kuna wapenda zawadi kuna wapenda hela kuna wapenda sex kila mmona ana tabia yake .. mkuu unatuma hela eeh! Hongera [emoji3][emoji3][emoji3]
πππ ππ unafanya vyema mkuu tena sanaaaaSometimes yes, tuwang'arishe mkuu.
Ngoja kwanza nipe details za kampuni tuombee tenda ya consultancy services mkuu
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π₯±π₯±π₯±π₯±! Saprize yako ya upambe iko pale pale!Boss lediiiii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Amependeza kama kawaida yake[emoji91][emoji91]
Kuna watu wanapendeza jamani duniani huku[emoji3059][emoji108]
Kama wameshushwa hivi kutoka mawinguni[emoji23][emoji91]
Kweli?Hahaaaaaa hukatishi ubishi mpaka ushinde
Mabossledii wakishua wanatoa surprise jamani[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]π₯±π₯±π₯±π₯±! Saprize yako ya upambe iko pale pale!
π€Έπ€Έπ€Έπππππππ!!Weuweeeeeeeeeeeeh shouzzzzzzzz sio kwa vazi hilo la leo, mbna umetoka ki afisa tena ki balozi balozi yaan, [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Noga sana shouzzzzzzzz ake, [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Eeeh???Kuna picha
Ulileta
Umetinga pyedo[emoji1787]
Litawekwa Pale Uyole njiapanda ya Dar,Tukuyu na TundumaSenjele[emoji1787]
Ndio kijiwe chetu,tunalala na kuamkia hapahapaunalala unaamka watu mpo tu kwenye huu uzi.[emoji1][emoji124][emoji124]
kwa kweli...Ndio kijiwe chetu,tunalala na kuamkia hapahapa
Haya dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana nikasema ni tabia ya mtu na mtu kuna wapenda zawadi kuna wapenda hela kuna wapenda sex kila mmona ana tabia yake .. mkuu unatuma hela eeh! Hongera [emoji3][emoji3][emoji3]
Tuachie kapichakwa kweli...
haya mbaki salama..[emoji124]
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji4][emoji4][emoji4][emoji8][emoji8][emoji8][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]!!
Sante sana shos!
[emoji177][emoji177][emoji8][emoji8]Haya dear
kakujimwambafy sio?πTuachie kapicha
Hahahaaa...Jana nilitingwa Kidogo msukuma shukrani sana niliona jana ukinitafuta san ..Marahaba Boss Lady...na asante sana. Jana hukuonekana hapa na nilikuulizia mno mpaka nikazidisha. Usipokuwepo hapa tunakuwa kama watoto yatima tu yaani. Hatuwezi kuishi bila Boss Lady hapa jamani. Hata siku ukitingwa na majukumu yako angalau toa angalizo mamake.
Mungu Akubariki. You add value to others [emoji122][emoji122][emoji122]