Selfika na JF: Snap it. Show it

Ana uwezo wa kusifia makande yakaonekana pilau.
Yaani huyu fundi hata nikimleta kwako utaona haya majaabu

Nimesuka nywele Kwa miaka sasa ila sijawahi kutana na fundi kama huyu ambaye mkono wake hauumi kabisa nywele ya Rasta hiyo..
Nikajua labda amebahatisha tu hiyo siku,nikaenda tena siku nyingine..mambo yakawa yaleyale haziumi.

Nikajua kichwa changu kina sugu
,
Nikampeleka sister wangu ambaye yeye kichwa chake ni tona tona akisuka mara mapele haya,analalamika zinaumaaa
Aliposuka kule alilala vizuri,akamsifia,akarudi Tena..na ukitaka akufuate nyumbani anakuja,unampa tu nauli.


Huyu fundi sasa saluni Hana,anasukia tu nyumbani na wateja ni mmoja mmoja
Kwa kile kipaji chake ilitakiwa akae sehemu kali saloon kubwa za kishua huko Mlimani City.


Baadaye nitasindikizia na kapicha ka nywele nilizosuka kwake
 


Msusi yupo next level huyo ..
Watu na vipaji vyao .

Nasubiria picha ya msuko .
 
Ndyoooooh

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…