binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,778
- 46,835
Dah mate nilikuwa busy Leo 😂😂😂😂binti kiziwi mate kiko wapi? 😹😹
Nilikwambia mimi VAR yangu haidanganyi..!!
Si huyo babe wako anakushangaa unavyomuita kaka 😹😹
Nakupiga faini ya laki, nakutumia lipa namba uweke muamala kwa kuidhalilisha PhD yangu ya ufukunyuku..!!
Kwamba amenikana 🤣