Selfika na JF: Snap it. Show it

🥱🥱🥱🥱🥱🥱 Cocastic wewe kichwa chako sasa hahahahahahah!!!!!!🤣
 
Tafuta kidogo nawee jaman, hata shem aone utofauti wako, mambo madogo madogo ndo ya kumkonga mume jomoneeeeh shouzzzz,

Kungwi on air, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hahaha kungwi wewe haswa ..
Nitafanyia kazi ushauri wako siku moja niwe nimependeza.
 
Konk

Wa mzagamuo

Huna mbadala[emoji1787]

Ni vile twaheshimiana

Ila tukipigana zagamuo

La kirafiki

Mbona mswano tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaa kwa kutulia,
Afu kwan wanaoheshimiana hawazagamuani? Ko wana ndoa hawaheshimiani? Au mke na mume?

Mie sijawahi kuelewa mtu anatongozwa afu anajibu "yaan sikuwahi waza utanivunjia heshima kias hiki" khaaah kwan mtongozo n dharau?

Au demu anamfata jamaa anamuelezea hisia zake, jamaa anajibu "daaah sikiwahi fikiria wee ndo unikosee adabu hivi, nlikuona msichana wa maana kumbe mmh", sasa kosa n lipi hapo?

Au mzagamuo n kwa wale tyuuh wasio heshimiana? Hebu Nijibu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ndio

Nishatupa nyavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…