Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Boss bonge
Boss bonge
Mwambie awahi maana namimi nashusha mzigo wa maana hapa muda si mrefuHeaven Sent kaka yako ameweka picha
Kwa hiyo nisiondoke Leo ooh?Mwambie awahi maana namimi nashusha mzigo wa maana hapa muda si mrefu
Shusha shusha Eng. .... nami nipo hapa nasubiri 🙇🙇Mwambie awahi maana namimi nashusha mzigo wa maana hapa muda si mrefu
Kumbe upo?Kwa hiyo nisiondoke Leo ooh?
Nimefika ASAP. Ila usiweke li mask lakoKumbe upo?
Sijakutenga changu lee…Kweli na wewe ndo umenitenga sana lakin
Na wewe piaasubuhi njema wakuuView attachment 2149776
Hilo ndo la msingii...ila wiki umeianza vzuri?Sijakutenga changu lee…
Majukumu yanatutenga na wapendwa wetu baba….nitajitahidi kutokukutenga
Eeh nimeikosa
Umeona mzigo live bila chenga?Nimefika ASAP. Ila usiweke li mask lako
Kumbe na wewe upoo😁Eeh nimeikosa
Mungu wetu ni mwema sana amenipatia nafasi ya kuendelea kuwa na uhai🙏.Hilo ndo la msingii...ila wiki umeianza vzuri?
Nipo japo sijaona pichaKumbe na wewe upoo![]()
Jamani nina gundu gani na picha zako za laivu?Umeona mzigo live bila chenga?
Nikipata mwanaume wa hivi, naacha bangi. Natulia tuliiiiii.







Mweeeeh
Umeona??Mweeeeh
Hio tabia ya kufuta haraka haraka ivo umeianza lini lakini????Umeona mzigo live bila chenga?