CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
shemeji kama shemeji,,
Siku hizi kuna super tall handsome wa kuitwa Matip Joel..Mahaba yamehamia huko.


Kazi unayo!Anayebisha aje tubishaneHahaha Anne mbavu zangu tafadhali![]()






Huyo dogo amenichefua hayo manywele


Duuuh!! Kwani HS yupoje
Kishundu flani hivi unaweza kukishaka hivi ☺️Duuuh!! Kwani HS yupoje
Pole mdogo angu. Yuko wapi huyo tumfuate, asikuumize akili?
Aahahahahaa jiraniiii, nimerejea.Jirani inabidi tupige road trip moja ya kibabe... niliunge tela tukaachane pale kama unaenda kipalapala mie narudi chini kidogo 😂😂😂😂 huku tabora boy nanyanyuaaa paka igombe kuogelea
Natembeaga nazo 😇😇 naogopa kutembea na bangii askari huwa kama wanadawaView attachment 2148967
Asante mamy
Enjoy your meal friend!!
Kesho asubuhi uanzie ofisiniPole mdogo angu. Yuko wapi huyo tumfuate, asikuumize akili?
Yummy
Urojo 😍😍😍Yummy
Nimemiss hii kitu
Yaani unashiba kabisa hapo ..Urojo![]()
Sio imani ni ukweli mtupu Redbull baba lao.. nakuwaga nazo kwenye begi kama sio begi kwenye siti ya nyuma ya gari huwa nazijaza kama dukani 😀😀😀 bila kusahahu strawberry.. bajaji aliniacha salama na sasa hivi nipo Gairo baridi hapa kha 🍓🍓Well sijui ni imani au mazoeaaa....
Yaani energy drink zote zilizokuja baada ya Redbull.... kuliko nizinywe nikikosa Redbull bora nikubali kuwa teja.
Dereva bajaji alikufikisha salama jirani?
😀😀😀😀 sijui niliandika manini safari mkianza pamoja shurti mmalize pamoja.. baada ya hapo Lushoto.. ni kuacha alama tuAahahahahaa jiraniiii, nimerejea.
Imeishaaa hiyoooo, imebaki utekelezaji tuu...😋😋
Ila isiwe kipindi cha mvua tafadhali.
Huko kuogelea 🤔🤔🤔..... Yaani tutoke Dar gari moja tunapokezana u co-driver halafu nikuache kipalapala...!!
Au kila mtu anakuwa kwenye usukani wake...?? Sijakuelewa jiranii.