Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

I'm speechless


Nilisema mimi huyu dada ni mtu na nusu
Yaani ni mtu na nusu na kipande tena
Vocha za voda na airtel jamani
Mitandao ya kitajiri bando ningepata wapi mie???
Sasahivi naserereka bando wiki nzima
Kotekote


Boss ledi ni mtu na nusuuuuu
Boss ledi ni pisi kali
Boss ledi ana roho ya pekeyake
Boss ledi hana uswahili
Boss ledi sifa zooooote zake




Bwana akubarikie na kukulinda mahondaw
Ukapate mafwedha yaani yakatiririke kama mvua
Uzidi kubarikiwa mno katika jina la Yesu
we dogo una kipaji Cha uchawa sema hujajua tu
 
20220312_193930.jpg


Zege halilali...

Kazi ya punda mzigo ufike salama...
 
Back
Top Bottom