Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Baba JMama J
Niaje? 😁
Baba JMama J
Hiyo picha umeficha hadi imenitisha; weka vizuri pichaNamsubiri HS ashuke mistari na kuselfika
internet 50,000 Voice 20,000.. hakuna cha wizi matumizi yako mabayaUnaweka voucher ya sh ngapi?
Voda wezi basi tu, mimi vocha ya 30,000 week 2 tu .
Hapa sahivi nishaanza kupumulia mpira 😎
Nipunguzie tu gb 3 , nikiongeza na hizi huku natoboa march 🤸🏻♀️🤸🏻♀️
Ukiweka yako nami naiachiaHiyo picha umeficha hadi imenitisha; weka vizuri picha
Mtuache








You’re right .. 🚶🏻🚶🏻internet 50,000 Voice 20,000.. hakuna cha wizi matumizi yako mabaya
Mimi sina mpango wa kuweka lakini 🥰🤣Ukiweka yako nami naiachia
Mimi sijawahi kubahatisha kukuona, iachie kwa dakika Moja tuMimi sina mpango wa kuweka lakini![]()
Kwendeni😂😂😂😂
Kweli jamani?Mimi sijawahi kubahatisha kukuona, iachie kwa dakika Moja tu
KweliKweli jamani?
Labda ametype haraka haraka9.8ms squared
Kumbe uwa unacopy na kupest
Nikajuaga unaflow na key boards
Source: nimeangalia mpishano wa muda ktk comments… na ninajua somo la hati mkato hukusoma![]()
