Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,201
Hips zenyewe za kilo 50 nazo ni hips???[emoji23]Tu
Tusio na mahips tunapata tabu
Ila Kuna mtu ananipeleka mbio kula [emoji16]
Hips zenyewe za kilo 50 nazo ni hips???[emoji23]Tu
Tusio na mahips tunapata tabu
[emoji3059]
Wengine si vimbaombao alimalizia ule udongo kidogo uliokuwa umebakia.
Sura za kusini naona alimalizia jioni[emoji3]
Ewaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji113][emoji113]Badae
Acha dhambi bhasTu
Tusio na mahips tunapata tabu
Alianzia kule kaskaziniUkimbaombao siyo sifa ya kudumu. Nilishakwambia zaa kwanza vitoto viwili hivi halafu nitafute tuone kama utakuwa bado kimbaombao...
La sura kwa kweli silijui kwa sababu mnazifichaga ila kwa kuangalia tu through emojis sijaona tatizo...
Mmebarikiwa sana nyie yaani!
Aache dhambi kabisaAcha dhambi bhas
Wewe ma mchungaji wa kusema
Maneno hayo kweli[emoji1787][emoji848]
Inabidi tuNaona mnataka kuuona uso wa Mungu
AiseeOooh nimekumbuka
Uchambuzi wako sasa dah! [emoji16][emoji16][emoji16]Alianzia kule kaskazini
Alipowamaliza sura,akahamia kwetu kuunda miili.
Jioni akamalizia sura,na wale akawamalizia miili.
Kazi ya Mungu haina makosaAlianzia kule kaskazini
Alipowamaliza sura,akahamia kwetu kuunda miili.
Jioni akamalizia sura,na wale akawamalizia miili.
Pep ni nani?Inabidi niombe ruhusa kwa Pep ili nizichonge hizo kucha nkamu
Mkuu Mimi ni wa mkoani. Dom sipaelewi na mwenyewe haelewekiBado uko mkoani bro au usharudi Dom? I hope kila kitu ni shwari!
Baba mchungajiPep ni nani?
Mkuu, kiprotokali kwenye haya matani huwa hatutaji majina. Shauri yako ikitokea moto ukakuwakia mi simooo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu Mimi ni wa mkoani. Dom sipaelewi na reymage mwenyewe haeleweki
Na kazi yake ni amini na kweliKazi ya Mungu haina makosa
Simjui[emoji16]Baba mchungaji
Eeh dhambi ipi wakati nasema kweli?Acha dhambi bhas
Wewe ma mchungaji wa kusema
Maneno hayo kweli[emoji1787][emoji848]
Aaah weeeInabidi tu
Iwe tu kama musa
Alivyoona shingo
Huenda nasi tukasema imetosha
Lakini tuone
Baba Mchungaji tangu apigwe na kitu kizito siku ile kwenye kahawa Mlimani City hajawa sawa. Bado anahitaji maombi [emoji16][emoji16][emoji16]Baba mchungaji