Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Huku kwetu wengi sura personal aiseeUkimbaombao siyo sifa ya kudumu. Nilishakwambia zaa kwanza vitoto viwili hivi halafu nitafute tuone kama utakuwa bado kimbaombao...
La sura kwa kweli silijui kwa sababu mnazifichaga ila kwa kuangalia tu through emojis sijaona tatizo...
Mmebarikiwa sana nyie yaani!