cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo inavyotakiwaa sasa usubiri nn? Bahati haiji mara 2, ni hapo hapo yaan, watu weuweeeeeeeeeeh.Aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Ntaenda na Kwa yule Shaboka aiseee.
Leo jioni niliiangalia hiyo clip yake uliyoisema.
Nikajikumbuka enzi hizo shemeji yako anaomba namba .sikufikiria mara 2,,ilikuwa paa paaa namba hizi hapa Aloo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Usisahau MC nipo hapa. Ushindwee wee tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app