Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mmh sijaelewa
Hii sms yangu kweli ?
Vipi hujapata best?Ngoja nicheki kama nitaipata



Wee hebu umelala? Niweke hapa.Weka basi chomodo wetu na sie tufurahi tulale



Huyo utamuweza bas kwa upambe lol.we upoje lakini?
Njoo tuserebuke hapa tilapia





Machariii wa Arachuga shikamoo kwenu mmenifanya nicheke bila kupenda![]()






Aah huyo ashazoea mayutong; hivi vingine havimshtuiMa mchungaji
Kile kishundu
Kinamdatisha namhala
Amebaki kukariri
Nguzo camp![]()
Mtakatifu anazingua!
Siku akinenepa na kuwa kiYutong namna hiyo sijui itakuwaje tu![]()
Haiji kutokea mkuuMtakatifu anazingua!
Siku akinenepa na kuwa kiYutong namna hiyo sijui itakuwaje tu![]()
Usiseme hivyo kiongozi. Ukija kukamata mimba unaweza kujikuta unakuwa Yutong mpaka unajishangaaHaiji kutokea mkuu

Najitahidi sana kubalance chakula Chief..Usiseme hivyo kiongozi. Ukija kukamata mimba unaweza kujikuta unakuwa Yutong mpaka unajishangaa![]()
Nimeshaona vimbaumbau zaidi yako vinakuwa Yutongs. Yaani ukipata mimba ikakukubali ukaYutongika halafu ukijifungua unakuwa mzembe kurudi ulivyokuwa ndo imetoka hiyo. Ila endelea kubalansi msosi chifu. Hiyo ndiyo siri kubwa ya kubakia kimbaumbau. Huoni vimisosi vya Lizzy. Ukiweza kumenteini ulaji wa hivyo na vimazoezi vya hapa na pale, utaendelea kuwa kimodo tu mpaka unapata vilembwe...Najitahidi sana kubalance chakula Chief..
Huyo alifeli kubalance msosi,alikuwaga kimbaombao kuzidi Mimi.View attachment 2147422
Asante sana Kwa ushauri mkurugenzi😀Nimeshaona vimbaumbau zaidi yako vinakuwa Yutongs. Yaani ukipata mimba ikakukubali ukaYutongika halafu ukijifungua unakuwa mzembe kurudi ulivyokuwa ndo imetoka hiyo. Ila endelea kubalansi msosi chifu. Hiyo ndiyo siri kubwa ya kubakia kimbaumbau. Huoni vimisosi vya Lizzy. Ukiweza kumenteini ulaji wa hivyo na vimazoezi vya hapa na pale, utaendelea kuwa kimodo tu mpaka unapata vilembwe...