Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Shauri yako!
Shauri yako!
Anne wewe ni msumbufu sana, sijasahau siku umenibananisha kwenye thread flani nikutajie umri wangu hahaaa nikaamua kukutajia range ndio ukaridhika. Hapa kwenye selfie hapana 😁Tunaomba uselfike kwanza mkuu
Daah hayo majina yenuNakukubali sana mkurugenzi..
Haya usiku mwema na Mungu Akubariki sana chifu [emoji1545]
Pamoja sana mkuu[emoji110]Nakukubali sana mkurugenzi..
Haya usiku mwema na Mungu Akubariki sana chifu [emoji1545]
Naomba picha yako bwanaAnne wewe ni msumbufu sana, sijasahau siku umenibananisha kwenye thread flani nikutajie umri wangu hahaaa nikaamua kukutajia range ndio ukaridhika. Hapa kwenye selfie hapana [emoji16]
Ukiingia kwenye anga za Anne kutoka salama ni bahati. Ningekuwa wewe ningeselfika tu ili yaishe [emoji16]Anne wewe ni msumbufu sana, sijasahau siku umenibananisha kwenye thread flani nikutajie umri wangu hahaaa nikaamua kukutajia range ndio ukaridhika. Hapa kwenye selfie hapana [emoji16]
Umeyapenda kiongozi? [emoji16][emoji16][emoji16]Daah hayo majina yenu
🤣🤣🤣 privacy tu hakuna lingineNaomba picha yako bwana
Kwani unaibania ya nini sasa?
Kashaanza hapa atanifuata hadi PM 😁😁. Saint Anne kama Private investigatorUkiingia kwenye anga za Anne kutoka salama ni bahati. Ningekuwa wewe ningeselfika tu ili yaishe [emoji16]
Hapana MkurugenziUmeyapenda kiongozi? [emoji16][emoji16][emoji16]
Sister habari yako☺Daah hayo majina yenu
Kwani unadhani nikikuona nitakufahamu basi![emoji1787][emoji1787][emoji1787] privacy tu hakuna lingine
Umeyapenda eeh na wewe nikupe angalau mawili[emoji16]Daah hayo majina yenu
Sasa bora uweke hapa angalau unaziba na emoj...Kashaanza hapa atanifuata hadi PM [emoji16][emoji16]. Saint Anne kama Private investigator
Hahaaaaaa unajua rule ya negotiation ni lazma side mbili zipate kitu. Mimi nitapata nini sasa 😁😁Sasa bora uweke hapa angalau unaziba na emoj...
Nikikufata pm nitakuomba ya bila emoj[emoji6]
😁😁 nguvu ya ushawishiKwani unadhani nikikuona nitakufahamu basi!
Mimi najiburudisha tu macho yangu.
Yaani nina picha kila kona humu selfikaHahaaaaaa unajua rule ya negotiation ni lazma side mbili zipate kitu. Mimi nitapata nini sasa 😁😁
Tafadhali usimfanye Anne alale akiwa na huzuni😁😁 nguvu ya ushawishi
Niliwahi kuweka wakati hii thread inaanzishwa, wewe ndio hukuiona ☺Yaani nina picha kila kona humu selfika
Fanya kuniwekea yako basi..hujawahigi kuweka ati.