Nyingi hapa
Humo ni kwa watu
Kama upendo na mahaba yapo.. hata kwa gari la gazeti utanifata.. fanya kama hakuna ndege kuna mabasi na gari za magazeti tu 😎😎Upendo gani wa kuproviwa na gari za gazeti? 🤣
Au sijaelewa?
[emoji849]Ila Heaven ww Miyeyusho Sana, Nipe Basi Niishi Humo [emoji6][emoji6][emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787]Karibu sana mkuu
Kuna Yutong na Zhongtong za kutosha
Kwema lakini bhageshi
Ngoja nicheki kama nitaipataTinsley best hebu weka lips mie nione nifurahi nilale [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Reservation confirmedKama upendo na mahaba yapo.. hata kwa gari la gazeti utanifata.. fanya kama hakuna ndege kuna mabasi na gari za magazeti tu 😎😎
Ma mchungajiMmh mbona kama sikuelewi mpendwa? Em funguka vizuri
Weka basi chomodo wetu na sie tufurahi tulaleTinsley best hebu weka lips mie nione nifurahi nilale [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Menyu ya leo
Hapo hakuna upendo.. nipo matombo huku hakuna hata kiwanja cha ndege.. basi acha tutafute wana kijiji wenzetu tunao pendana kwa dhiki na njaaa.. usafiri wetu punda na baiskeli.. binti hata kwa dala dala atakuja mume nifurahi 🥳Reservation confirmed
Na niliiba mpaka reserve?
🤣🤣🤣 emu tulia
Ashenalee[emoji1787][emoji854]
View attachment 2147188
Unafurahishaga 🤣🤣🤸🏻♀️🤸🏻♀️🤸🏻♀️💃💃Hapo hakuna upendo.. nipo matombo huku hakuna hata kiwanja cha ndege.. basi acha tutafute wana kijiji wenzetu tunao pendana kwa dhiki na njaaa.. usafiri wetu punda na baiskeli.. binti hata kwa dala dala atakuja mume nifurahi 🥳
Kwa uzoefu wanguMkuu niko royal city kidinda hapa [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] njoo nikusalimie
😂😂😂😂 we upoje lakini?Kwa uzoefu wangu
Hakuna ndege ya jioni
Kwenda mwanza
Mchana ulikuwa kijenge
Acha bhas
Vinginevyo ulipanda fisi[emoji1787]