Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Friyay
IMG20220311130323.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lect wee ni mzushi bhana, au mie ndo sina bahat? JD na ndinga kmyaaaaah, hebu sahihisha huko mitihani hatutaki uharibu desa za watu, afu ujaze sup kibao, kumbe umesahihisha haraka haraka uwiiiiih. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Shosteeeeeh wee unanitenga tyuuh, ila freh nipe huo ubuyuuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
☺️☺️ sikutengii hata shosteee.. jana na mie nimemaliza exam.. hapa ni mwendo wa bata batani hadi wachawi waokoke... naziunganisha picha shoste ubuyu bilanpicha haunogi.. tena ubuyu wa zanzibar
 
[emoji3526][emoji3526] sikutengii hata shosteee.. jana na mie nimemaliza exam.. hapa ni mwendo wa bata batani hadi wachawi waokoke... naziunganisha picha shoste ubuyu bilanpicha haunogi.. tena ubuyu wa zanzibar
Hahahah exam ya Masters shostieeeee? Hongeraaa mwayaaa, haya nasubir kwa hamu huo ubuyuuuh jomoneeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom