Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aisee hongera ,keep inspiring us ...
Soda zipo addictive mno , unaweza kuta unakunywa hata tatu kwa siku .
Mie nikienda mjini lazima nipate ka juice au ice cream kwanza nipooze koo 😅 .

Huwa naskip lunch hivyo ikifika jioni njaa kama yote hapo inabidi nile chakula kingi nishibe wakati sio healthy kabisa..
Will do 😊😉

😆😆😆 Na hilo joto linavyoshawishi kunywa vitu baridi sio poa kabisa!!!

Ila ishu ya jioni unaweza ukawa unakula matunda ukirudi tu nyumbani ili muda wa chakula ukifika usiwe na njaa sana. Pia mchana....matunda yapo mengi sana sasa hivi, badala ya kuskip jumla...kula hata kaembe/ndizi/nanasi huko mizungukoni kuepuka hako ka bad habit.🙂
 
Ooh Thanks for the helpful advice !
Joto hili balaa, unaona kabisa hapa lazima nipate kinywaji baridi .

Nitajitahidi kupunguza kula ovyo hasa nyakati za jioni ...matunda yanasaidia sana japo kuzingatia kila siku ndo shida hapo .
 
Back
Top Bottom