Selfika na JF: Snap it. Show it

Aisee hongera ,keep inspiring us ...
Soda zipo addictive mno , unaweza kuta unakunywa hata tatu kwa siku .
Mie nikienda mjini lazima nipate ka juice au ice cream kwanza nipooze koo 😅 .

Huwa naskip lunch hivyo ikifika jioni njaa kama yote hapo inabidi nile chakula kingi nishibe wakati sio healthy kabisa..
 
Utaenda lini

Tena mjini[emoji848]

Tukapate soda

Tatu tatu
 
Mambo ya kuwapa kipochi manyoya watoto[emoji28]
Dogo anakuambia mwili wote alikuwa anauskia unafanya hivi [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Wakati wazungu wanamtoka[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee chizi sana lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…