Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,016
- 177,323
Barikiwa sana mama mchungaji!Huo sijawahi kuupost hapa. Ngoja ntakupigia picha yake. Utakufaa sana madam
Sent using Jamii Forums mobile app
Barikiwa sana mama mchungaji!Huo sijawahi kuupost hapa. Ngoja ntakupigia picha yake. Utakufaa sana madam
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah sijui kwanini na mimi sipati hii bahati aseeEndelea kuimba mapambio. Nabonyeza kule delete for everyone sasa hivi


Vyuo vingi vya bongo mazingira yake ya entrance yanafanana


Dah sijui kwanini na mimi sipati hii bahati asee![]()
Marahaba mama mchungajiShkamoo Mjep
Hivi unafundisha wapi nije kusoma![]()
Let us fly better 🤗
You might…..?!! Au nikuache kwanza 😁
OohLol nipeleke taratibu kwanza. Mi mzee ujue? But I can dig it 😉
Usiwaze uzuri unanijua kwenye kuselfika sijibaniiiUkishashona utupostie
Hakuna mshono unakukataa boss ledi![]()


Labda uwe mdogo wetuMtakatifu@Saint Anne Huyu mwenye skin tight mwambie Mimi nipo tayari kuwa kaka wa hiari.
Hunaga uswahili kabisaUsiwaze uzuri unanijua kwenye kuselfika sijibaniii![]()




Hao wenzio wamejileta kwenye uzi wetu tangu jana.on behalf of all chelsea fans
Tunaomba mtupe nafasi ya kupumua nyie mashabiki wa vilabu vingine.
Popote alipo shabiki wa chelsea naomba asisemwe
SA ukinijibu nakupiga![]()

Oh kumbe mitaa ya nyumbani kabisaMarahaba mama mchungaji
Njoo chuo cha maendeleo ya wananchi Nzovywe uongeze maarifa mdogo wangu
nkamu bana. Hana Cha bahati yoyote; si unaona anakujaga kulialia huku na yeye.
Btw usisahau una surprise yako ya kufungia mwaka

Mimi sitaki manenoHao wenzio wamejileta kwenye uzi wetu tangu jana.
Tupo kuwasimanga![]()
Kasoro nilichosomaVyuo vingi vya bongo mazingira yake ya entrance yanafanana![]()