Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_4338.jpg
 
Si ajabu kangekuwa domo zege [emoji16][emoji16][emoji16]

Ila ukweli usemwe. Boss Lady ni kati ya wale wanawake wachache ambao hata akivaa gunia otomatikale anatokelezea tu. Na hapo eti ni mama wawili! [emoji15].
Ni kweli Mkuu,

Me mwenyewe isingekuwa Uzee haki ya nani ningejitosa, Binti MashaAllah yule 🙊🏃🏃🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom