Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
YatakushindaHeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Subiri wee niitafute ile simu [emoji2096]
YatakushindaHeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Subiri wee niitafute ile simu [emoji2096]
Amina🙏🙏🙏AMEN. Mungu awabariki sana walimu. Ngoja na Mimi nikasomee ualimu; watu miaka na miaka hawazeeki daah
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapenda kuwajibikaNa hawazeeki kweli.
Kwanza hata baada ya kustaafu hawawezi kutulia bila kazi.
Atatembea tu kwenda shambani na kurudi ..ili mradi asikae idle tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yatakushinda
Mungu awatunzeTunapenda kuwajibika
shikamoo mwalimu!![emoji12][emoji8]Tunapenda kuwajibika
Hivi unaonekana vizuri?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baadaye tutajadili ule mshono na kipenzi chako
inaonekana humu walimu wengi sanashikamoo mwalimu!![emoji12][emoji8]
Ma mchungaji Heaven Sent please Usinisahau mshono mmoja mattatta sana... kuna zawadi yangu ya wax toka kwa bosi ya mabosi bosi mukubwa! Sitaki kumuangusha kabisa bosiii[emoji12]![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baadaye tutajadili ule mshono na kipenzi chako
Hebu nasie tuone kama unaonekana vizuri ama la!Hivi unaonekana vizuri?
Ma mchungaji Heaven Sent please Usinisahau mshono mmoja mattatta sana... kuna zawadi yangu ya wax toka kws bosi ya mabosi bosi mukubwa!![emoji12]!
Heshima yako mwalimu😍shikamoo mwalimu!![emoji12][emoji8]
🤣🤣🤣🤣Hebu nasie tuone kama unaonekana vizuri ama la!
Amina🙏🙏🙏Mungu awatunze
Nilikujibu dia pisi 3!Juzi nilikuuliza unataka Mshono wa pisi 2 au 3?
[emoji1732][emoji1732][emoji126][emoji126][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577] kazi iendeleee!!Heshima yako mwalimu[emoji7]
Shkamoo MjepAmina[emoji120][emoji120][emoji120]
Ooh basi sikuonaNilikujibu dia pisi 3!
Mimi nataka wa pisi 4[emoji2088]Juzi nilikuuliza unataka Mshono wa pisi 2 au 3?