[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umechachuka sana shida nn cc? Yaan uwiiiiiihKawaida yake huyu.
Sijawahi kumuona hajatokelezea.
Mwili wa kiboss lady unakubali kila nguo,,,hapa bado hajatupia zile suruali zake official[emoji119][emoji119][emoji119]
Mungu alimuumba asubuhi mapema kabisa baada ya chai nzito.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli unajua kusifia, Ungekuwa Mwanaume Mabinti zetu wangeshindwa kuchomoa mistari yako [emoji23][emoji23]
Ila the lady is so hot [emoji91], isingekuwa Uzee huu ningefunga safari kwenda kumsifia live [emoji87][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kupatwa kwa mama mkwe woiiiiiiiiih. Leo mbavu cna wallah.Sifa ninazotoa ni amini na kweli
Anastahili..boss lady anastahili kabisa,hakika anastahili.
Nasema uongo ndugu yangu?
.........
Hapa bado sijaanza kumvurumishia mistari mwanaume mwenzenu,mtoto wa mwanamke mwenzangu fulani aliyenifyatulia mwanaume na nusu duniani hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo ameshanduka zaidi ya pili pili. UwiiiiiihAnne unajua Nimecheka mpaka nahisi kukauka kwa kicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🥱🥱🥱🥱
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ilaaa na Saint Anne leo mmejua kuniua mbavu 🥱[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🥱!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukweli bhana woiiiiiihHahaaaa nyie watu uwiiii🥱[emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji1787]🥱🥱
@mahondaw shouzzzzz mie lunch nipeleke hapa, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hadi mate yamenitoka wallah. [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]
@mahondaw shouzzzzz mie lunch nipeleke hapa, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Wapenda app tunateseka sana hasa nyakati za usiku ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata sijaona yaan, hii app ni kimeo. Uwiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hongera mkuu. That's a woman right there [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]daaahhhNipo mkuu mbona sema nili cease na hii ID kwanza maana ishakuwa jasi
Binamuuu!nakumisssniambie kizazi cha Diamond[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji7][emoji7][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1]!!!!wacha weee