Wewe siyo wa kuiba mdogo wangu
Ngoja nitakuita mida mida kwa sasa bado ninelala
Ila naomba umwambie mama mchungaji
Heaven Sent hajafanya fair kabisa mimi nimejitahidi kumuomba aselfike akasubiri nimesinzia ndo anaselfika hapa yaani nimeumia kweli kuikosa hiyo piacha alafu inavyosifiwa sasaπππ