Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Ya usiku mwingiWewe siyo wa kuiba mdogo wangu
Ngoja nitakuita mida mida kwa sasa bado ninelala
Ila naomba umwambie mama mchungaji Heaven Sent hajafanya fair kabisa mimi nimejitahidi kumuomba aselfike akasubiri nimesinzia ndo anaselfika hapa yaani nimeumia kweli kuikosa hiyo piacha alafu inavyosifiwa sasa[emoji24][emoji24][emoji24]
Sijui kanafanya Nini huko,wasije tu kukatengua miguu.Mwalimu mzuri sana wewe
Unajua kuwahi asee[emoji1787]
Ni kituo kipya cha kazi[emoji1787][emoji848]
😁😁😁 Eeh! si unajua mie ndio mwalimu wa nidhamuMwalimu mzuri sana wewe
Unajua kuwahi asee[emoji1787]
Ni kituo kipya cha kazi[emoji1787][emoji848]
Lile shepu la kinyaki👌🔥Ya usiku mwingi
Ni balaa
Kwa nilivyosikia
Ni mateso bila chuki
Uliweka?Soon msukuma... mwite na reymage Satoh Hirosh wakuje saivi!
HiviSijui kanafanya Nini huko,wasije tu kukatengua miguu.
Zamani niliaminishwaLile shepu la kinyaki[emoji108][emoji91]
Oyaa mkuu mambo vp..kimya Sana Mzee BabaHuyo bwege anajifanya kanywa maji ya bendera
Mama mchungaji na shepu yake kaaaliii 🔥🔥ya kinyakiZamani niliaminishwa
Hivyo
Sasa hivi
Kila pisi kali nayoiona
Lazima inatokea uyole
Ndani ndani huko
Nipo mkuu mbona sema nili cease na hii ID kwanza maana ishakuwa jasiOyaa mkuu mambo vp..kimya Sana Mzee Baba
Ndiyo.Hivi
Mnafuatana
Yaani ni hivi
Mmeachiana ziwa[emoji1787][emoji848]
🤣🤣🤣🤣🤣Nipo mkuu mbona sema nili cease na hii ID kwanza maana ishakuwa jasi
Mashwaini wale jamaa😅 kuna jamaa ana ID nne na zote zinafanya mambo ya ki nationalist. Kusifia upumbavu sasa dah ndio maana nakulaga ban🤣🤣🤣🤣🤣
Akina Jumbe wanakutafitia ban Kwa hali zote.
Nyimbo zangu hizi kumbe tukikaa pamoja tutasikilizana [emoji257]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28].. tatizo Mzee Baba@Extrovert siyo mvumilivu ahahahHahaaa usinikumbushe Extrovert anavyoulizwaga kwanini kila siku anapigwa ban yeye tu anajibu eti siku nyingine huwa anajitahidi kukaa kimya ila anakutana na mtu anasema January Makamba ni Jembe hapo lazima tu ban itamhusu nilicheka sana asee daah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni nani huyo?Mashwaini wale jamaa😅 kuna jamaa ana ID nne na zote zinafanya mambo ya ki nationalist. Kusifia upumbavu sasa dah ndio maana nakulaga ban
Kule kwenye siasa hata uwe mvumilivu vipi,Kuna watu wanaboa wewe![emoji28][emoji28].. tatizo Mzee Baba@Extrovert siyo mvumilivu ahahah
Pole sn.. samtaimz unawapotezea TuNipo mkuu mbona sema nili cease na hii ID kwanza maana ishakuwa jasi