Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna wale jamaa 24hrs wanaanzisha nyuzi za kuisifu serikali.
Wanamtafutia ban Extrovert kila siku.

Ila Kwa sasa Jumbe ameshika chati aiseee.
Hahaaa usinikumbushe Extrovert anavyoulizwaga kwanini kila siku anapigwa ban yeye tu anajibu eti siku nyingine huwa anajitahidi kukaa kimya ila anakutana na mtu anasema January Makamba ni Jembe hapo lazima tu ban itamhusu nilicheka sana asee daah
 
Yaani kule siasani unaweza tamani umeze mtu😂😂😂🙌🙌🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…