Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
HahaHii ukwasi fund ikoje?
Wewe upo 🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Nimeielezea hapo juu kidogo ya hiyo, sorry jitahidi utafute.
HahaHii ukwasi fund ikoje?
Vocha babkubwa sh ngapi?Happy Woman Day kwa wanawake wa JF.
Nawapenda sana
NB
Mdada atakayetupia picha ikapata Like nyingi kuna vocha babu kubwa kwake, zoezi litafungwa saa nane mchana![]()
Anaekupenda ni mathai peke akeJamani anaenipenda anitumie hela ya maji ya kunywa
Mazingira niliyopo yanabana siwezi kununua vocha. I wish ningeweza kununua online. Happy Women's Day to all selfika ladiesJack Palladino
Wigelekelo
Shimba Ya Buyenze
Brian Spilner
My Sons Legacy
mtu chake
T 1990 ELY
ERoni
Gregory 2000 nawengineo
Leo siku yetu please tufurahisheni hata kwa vocha tu..

Mimi asiyenipendaJamani anaenipenda anitumie hela ya maji ya kunywa
kwenye sura mtatusamehe kidogo mkuu! Labda mtu awiwe mwenyewe!!Sawa mkuu ila muweke picha bila kujiziba/ficha chochote kile mtakachoweka humu/hapa
Asante sana..kwahio nikitaka kuanza huu mchakato niende CRDB au Kule UTT?1. Nimekariri tu mfuko wa Ukwasi/ ukwasi fund.. mingine mpk nisome kipeperushi na kinaishigi tu huko ofsn, so ni mpk kesho.
Ukwasi fund hii kianzio kima cha chini ni laki 1 ‘ yan pale unapofungua account na ukiendelea kuweka ni kuanzia sh 10000 na zaidi
Ukwasi fund ukitaka kutoa hela zako ni unaandika barua (utazikuta crdb) within 3 work days mshiko wako unapata.
faida n 12% kwa mwaka ya pesa yako utakayokuwa umewekeza .
Kila mwezi salio lako lilipo unalitafutia rate ya 1%… next month lile salio tena baada ya kulitafutia rate ya 1% unalichukua unatafutia tena 1% unapata balance.. so the circle wil continue on that way
Nb. Nimechoka kutype
Niulize nikujibu
Mazingira niliyopo yanabana siwezi kununua vocha. I wish ningeweza kununua online. Happy Women's Day to all selfika ladies![]()
Utt kama wako karibu na weweAsante sana..kwahio nikitaka kuanza huu mchakato niende CRDB au Kule UTT?
Siyo JD?Jamani anaenipenda anitumie hela ya maji ya kunywa
Happy Woman Day kwa wanawake wa JF.
Nawapenda sana
NB
Mdada atakayetupia picha ikapata Like nyingi kuna vocha babu kubwa kwake, zoezi litafungwa saa nane mchana![]()
Basi naomba uni link na huyo mtu...natanguliza shukran zangu.Utt kama wako karibu na wewe
Pia naweza kukulink na mtu
Crdb ni kuweka pesa/ kuzitoa
NimekutumiaMimi asiyenipenda
Mwenye kinyongo na mimi
Anayenichukia
Aninunulie pepsi ya baridi
Nimeiona hiyo Simply Fresh. I might give it a try…
Kingine ni chicken wings! I’m not getting chicken wings ever again from any of these places.
They are a joke!
It’s like these restaurateurs go to America and Europe, take photos of the menu books, come back and print-copy their own, and that’s it.
Three different occasions now I’m ordering “mouthwatering chicken wings” only to be majorly disappointed.
I’m done with them!
Wengine sura zetu za babaHappy womens day kwa wadada.wamama ,mabinti wote JF . NAWAKUBALI NAWAPENDA SANA. FURAHIEN SIKU YENU
NB: Leo ofa msiweke emoj kwa sura

Ndyooooooooooh shouzzzyShos ndio naingia saivi jamani! Tufanye badae mida yetu ile shos!!![]()



