cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,160
- 181,296
leo siku yetu shos
! !!
Happy women's Day shos!!









Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
leo siku yetu shos
! !!
Happy women's Day shos!!









Naumwaaaah.Sent from my/your infinix X652C
Hujambo mkuu



NitafuteeeeeBasi naomba uni link na huyo mtu...natanguliza shukran zangu.
🤣🤣🤣 haijafikaaaNimekutumia
Haaa muongo tena







anipumzishe kwanza, ndo kwanza likizo imeanza rasmi kaamua kunipa stress woiiiiiiiiih. Akaaaah sitakiiiii. Plz fungua pmNitafuteeeee
Hebu sahihisha mitihani kwanza nawee, tena kwa umakini watu hatutaki supHaaa muongo tena![]()





DonePlz fungua pm
Kitu waziii no underwear dadeqq 😋😋😋😋unafaudu sana!
Natafuta mtu nimuagize vocha...stay online nitazitupia hapa soon!Kwani unarudi lini huko?
Unazingua wewe! Navokuonaga mzungu uwiiiii!!Haaa muongo tena![]()
Mimi mwaka wa mwisho ulivyofika,nilisoma kumalizaJaman mama cocastic atakuja kuniua pressure km sio sonona, eti nikipata GPA ya kuanzia 4.3 atanipa zawadi kubwaaa ambayo sijawahi kuipata wala kuijua. Hivi anadhan mchezo eti eeeeh, kwa ubongo gani nilionao sasa?anipumzishe kwanza, ndo kwanza likizo imeanza rasmi kaamua kunipa stress woiiiiiiiiih. Akaaaah sitakiiiii.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
mambo yalivyokuwa si mambo nikawa natafuta nimalize salama.Wait mrembo soon nitaweka hapa. Voda, tigo na halotel?Unazingua wewe! Navokuonaga mzungu uwiiiii!!
Nikiweka nitakutag
Dooh mtihani huu my exNatafuta mtu nimuagize vocha...stay online nitazitupia hapa soon!