Boss Lady. Mimi nakiri tu wazi kuwa na uzee huu wa miaka 76 nimeamua kuachana na hizi purukushani aisee. Nikibahatisha picha ya mjukuu wangu hapa sawa. Nisipobahatisha napo sawa hakuna shida.
Ni wakati wenu huu vijana. Ila mkihitaji viushauri vya hapa na pale msisite kutuona sisi wazee. We have been there done that...ili msirudie makosa yale yale tuliyopitia.
Thanks Boss Lady...