Vocha nimeweka hapa karibu mitandao yoote muhimuHaya weka vocha sasa nakudai[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ondoa hayo makopakopa yanaharibu uso ujue😜
Vocha nimeweka hapa karibu mitandao yoote muhimuHaya weka vocha sasa nakudai[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umefuta
Hii umeifuta mbonaa haipoo
Nimefuta nn tena?Umefuta
Sijapata hata moja aseehh!!makopa hayatoki siku nikipata vocha ntaachia live!!Vocha nimeweka hapa karibu mitandao yoote muhimu
Ondoa hayo makopakopa yanaharibu uso ujue[emoji12]
Bina tulia basi, ishaingia kwanguUmefuta
Ndaga nkamu
Vocha hainokeani kwangu inajikata kama umeifutaaNimefuta nn tena?
Watakua wajanja wameshawahi subiri ushuhuda tu hapa😅Hii umeifuta mbonaa haipoo
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]loohh!hongera sana bina uko fastaa!ilikua Voda?!!Bina tulia basi, ishaingia kwangu
Loohh!baasi tena na makopakopa hayatokiWatakua wajanja wameshawahi subiri ushuhuda tu hapa[emoji28]
Tafadhali usifanye hivyo niondolee makopa mkuu kesho nikiweka nakushtua tena😜Loohh!baasi tena na makopakopa hayatoki
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]
Akuuu!we ntumie kule kwa Pm hapa sipati miye wajanja wengi!![emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]binamu kaonja pepo Leo mweehhhTafadhali usifanye hivyo niondolee makopa mkuu kesho nikiweka nakushtua tena[emoji12]
Eti kaonja pepo😁😁😁😁Akuuu!we ntumie kule kwa Pm hapa sipati miye wajanja wengi!![emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]binamu kaonja pepo Leo mweehhh
Mkuu geuza camera upande huuMjukuu cocastic njoo tuendelee kupiga kitabu. Same place. Elimu haina mwisho ati!
View attachment 2142598
Yaani!mpk raha!shida nakua sijui mda gani utamu unaanza!Eti kaonja pepo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mwee we hutaki kupambana na challenge