1. Nimekariri tu mfuko wa Ukwasi/ ukwasi fund.. mingine mpk nisome kipeperushi na kinaishigi tu huko ofsn, so ni mpk kesho.
Ukwasi fund hii kianzio kima cha chini ni laki 1 ‘ yan pale unapofungua account na ukiendelea kuweka ni kuanzia sh 10000 na zaidi
Ukwasi fund ukitaka kutoa hela zako ni unaandika barua (utazikuta crdb) within 3 work days mshiko wako unapata.
faida n 12% kwa mwaka ya pesa yako utakayokuwa umewekeza .
Kila mwezi salio lako lilipo unalitafutia rate ya 1%… next month lile salio tena baada ya kulitafutia rate ya 1% unalichukua unatafutia tena 1% unapata balance.. so the circle wil continue on that way 😝