Selfika na JF: Snap it. Show it

We si unasemaga unajua pa kumpata usituzunguke [emoji3][emoji3]

Halafu nimekumiss siku hizi unapotea kama balimi [emoji849][emoji849]
Na Mimi huwaga namnyanyasa kwenye anga zangu Fulani[emoji23].

Kumbe balimi zimepotea??
Nitajitahidi kutokuwa adimu kama Kilimanjaro .
Stress tu za maisha,maisha magumu yanapelekea Hadi nakosa bando .nasubiri nihotspotiwe ndipo niingie mitandaoni kuchungulia.
 
Amenishtua sana
Namuona kama toleo la kufungia first quarter ya 2022
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee? Sisi introvert mambo yote tunamalizia hapa JF, huku uraiani ni upole mwa mwi yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
mkuu si kuna machine za kufulia na hizi ndio kazi zake, unarudi kupumzisha fuvu umepuyanga zaidi ya 50km.. nianze kuoga oga kutafuta nini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] cha kwanza nikiinga nawasha AC kama suport document ya kupata usingizi
Mashine haitakatishi nguo. Hatupo Switzerland Wala Canada hapa ni 30°c . kola inachafuka vilivyo haiwezekani ikatakata kwa kuzungushwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…