Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Mtumie japo kwa simuUlifanya nianze kukutafuta ukumbi Mzima nisikuone, umepishana na ofa yangu ya Jacky Daniels
Vipande vya chips vipo 46.
Oi me naamsha Dar, Tanga haijanitendea haki.
Iki kiwanja kizuri, mwaga code siku nipatembelee.


Umehesabu kweli??🤣🤣🤣Vipande vya chips vipo 46.
Slipway....pako vizuri maana kuna option kama zote in terms of where to eat/drink.🙂Iki kiwanja kizuri, mwaga code siku nipatembelee.
😃😃😃 naelekea mwanza sa hii nipo hapa morogoro.. natafuta totoz kama abiria ma story flani masihara mengi safari iwe fupiOi me naamsha Dar, Tanga haijanitendea haki.
Chombo jana imezingua ila nakomaa nayo 🤕🤕🤕Oi me naamsha Dar, Tanga haijanitendea haki.
Asubuh flani hivi
NimeraukaView attachment 2140547
Ulifanya nianze kukutafuta ukumbi Mzima nisikuone, umepishana na ofa yangu ya Jacky Daniels





hebu fanya kwa namna ingine nipate hiyo JD. mzee wa tiaraaaaeeeeiiii.Asante kwa kutuwakilisha


Nipp na Bus mzee baba. Nimekaa na kamanda hapa anakula chips mishkaki.😃😃😃 naelekea mwanza sa hii nipo hapa morogoro.. natafuta totoz kama abiria ma story flani masihara mengi safari iwe fupi
Miti ya Christmas.. hamna issue kubwa hapo piga wese.Chombo jana imezingua ila nakomaa nayo 🤕🤕🤕View attachment 2140801
😃😃😃 mitatu tu hata haishtuiMiti ya Christmas.. hamna issue kubwa hapo piga wese.