cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,296
Miss you mamaaaa 😔😔😔Wapi baunsa bonge?
kwema sana mamy tumemis tu shepu letu mattatta sana hilo!!✌️😜!Kwemaaa??
Oooooh hallelujah, afu kuna mdada hapokei cm zake, anadai na ya kutolea, anajinunisha, uwiiiiiiiih khaaaaah, hadi macho yameanza kuwa makengeza ghafla. Mweeeeh
Unahitaji kuwa na pesa
Basi tyuuh yaan.Kwanini dogo?
Watu na nyama zao duniani hapa, sie wa mifupa tukae kwa kutulia tyuuh,





Asanteeeeeeee umematch vizuri afu Umependeza sanaaaaa!! ✌️✌️♥️♥️♥️♥️
🤣🤣🤣😂😂😜😜😜😜!!! 😂😂🤣🤣Watu na nyama zao duniani hapa, sie wa mifupa tukae kwa kutulia tyuuh,![]()
Bado mdaa, leo najilipua hapa live, niwaoneshe komwe na uwalazaleo huselfiki shos akeeee!!
???






Asanteeeeeeee umematch vizuri afu Umependeza sanaaaaa!!
Ila hongera sana unaonekana upo mwepesi sana yani una mwili fulani afu unapenda sana kuvaa heels na zinakutoajeeeeee!!!

Si umwambie
Hapendezei![]()




hivi wee una nn lakini? Mie sijasema hivyo khaaahUsifuteBado mdaa, leo najilipua hapa live, niwaoneshe komwe na uwalaza![]()
PleaseBado mdaa, leo najilipua hapa live, niwaoneshe komwe na uwalaza![]()
Usifute
Nipo juice ya 20
Huenda nikasinzia
Game la manunu likiisha




leo man city tunamla kavu manure bila kilainishi yaanNasubiria nikuone shos nilivokumis sasa!!! Mpaka naumwa!Bado mdaa, leo najilipua hapa live, niwaoneshe komwe na uwalaza![]()