Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
😁😁😁😁 nilikaa na msela alafu msela anisemesha kila saa hata kama nimelalaUsikute umekaa na mshikaji pembeni,
Me uwa natanguliza elfu 5 Kwa mkata tiketi anipange na pini,
Acha ubahili
😁😁😁😁 nilikaa na msela alafu msela anisemesha kila saa hata kama nimelalaUsikute umekaa na mshikaji pembeni,
Me uwa natanguliza elfu 5 Kwa mkata tiketi anipange na pini,
Acha ubahili
Ni nchi gani haujakaa?🙄🙄Nimekaa sana Russia baridi la mbeya kitu gani mamaaaaaa Heaven Sent
😀😀😀😀 umeona eeh.. mbeya jotoo kabisa huwa nashinda kifua waziNi nchi gani haujakaa?🙄🙄
Sitaki kabisa kucheka leo😀😀😀😀 umeona eeh.. mbeya jotoo kabisa huwa nashinda kifua wazi
furahii maamaaaa pastaaa Heaven SentSitaki kabisa kucheka leo
Nahisi hajaishi Niue tuNi nchi gani haujakaa?[emoji849][emoji849]
Nimegoma kucheka leofurahii maamaaaa pastaaa Heaven Sent
View attachment 2140134
Karibu Dar es salaam
Mdogo ako mnawezana wenyeweNahisi hajaishi Niue tu
Ooh!!kumbe upo karibu mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] zile zenye magonjwa yako nyemelezi...
Umetisha sana
Nashukuru sa a chief, Bariadi nitakaribia tena hivi karibuni kwa sasa niko hapa Malampaka
Dah😅😅si mpenzi wetu 😊😊
Wapi hapa mkuu
Nipo hapa counter, [emoji23][emoji23][emoji23]Nitamwambia, wewe umekaa pande zipi nikupige round [emoji1635]