Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Nipo getiniaaah brauza kwangu ndo inasumbua bhana.
Nipo getiniaaah brauza kwangu ndo inasumbua bhana.
Lect wee una makusudi wallah, yaan nimetoka hapo sio mda, nipo mwenge now. DuuuuhNipo getini
Huendi motoni kwa kunidanganyaaaah brauza kwangu ndo inasumbua bhana.
kulikua na match ya kukata na shoka, ila tatizo uwanja mdogo mnoo, wachezaji hawakua wanatanua mashambulizi. Uwiiiiiiih


weMboga nane

Hello friend
Lugha hiyo mkuuHello friend
I'm doing fine how about you ?


Ewaah umepatia ..Lugha hiyo mkuu
Hata sijui
Umesemaje
Lakini am kickin'(sijui nimepatia)![]()
hapo imekosekana Cigar na pisi matataaaNjoo uonje cocastic View attachment 2138809
hapo imekosekana Cigar na pisi matataaaNjoo uonje cocastic View attachment 2138809
Rafiki pc yako ya lips uliniahidi jomoneee.Hello friend
I'm doing fine how about you ?
Wee umezoea pisi kali za 1St yr? Wamesharudi kwao huko, mjini tumebaki wakulungwa,hapo imekosekana Cigar na pisi matataaa






