cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
App inazingua yaan hata sijaona, lolVolume ipo sawa..
Mideko Depal cocastic
Kashaija72
Heaven Sent...
Wigelekelo Saint Anne
View attachment 2138414



App inazingua yaan hata sijaona, lolVolume ipo sawa..
Mideko Depal cocastic
Kashaija72
Heaven Sent...
Wigelekelo Saint Anne
View attachment 2138414



Nipo, hii weekend siisomi kabisaa aheri ingekuwa j5Volume ipo sawa..
Mideko Depal cocastic
Kashaija72
Heaven Sent...
Wigelekelo Saint Anne
View attachment 2138414
Piga aseeh!If possible do the needful u know mi napenda kuku kwa hapa Dom Tango ndo kila kitu mkija mniwekww bill pale!wataamuNimefuta nini hapo rafikinext time nitapiga picha ya msosi nikuwekee ama ungekuwa jirani ningelipia bill wewe unapita na kula chakula chako tu
Pole.. kalale na shemeji atakufarijiNipo, hii weekend siisomi kabisaa aheri ingekuwa j5
Ameen dear,nasubiri uselfikeTuko salama kabisa; Mungu ni mwema
ila umesikia eeh 😒😒App inazingua yaan hata sijaona, lol![]()
Hahaaaaaa. Si kila kitu kinamuhitaji.Pole.. kalale na shemeji atakufariji
mamaaaa Heaven Sent tunakusubiri hapa nafsi zetu zifurahiday 😁😁😁Hahaaaaaa. Si kila kitu kinamuhitaji.
Nasubiria selfie ya Mama Pastor's Heaven Sent aliahidi jana
Na nilivyo na bahati mbaya nikipotea dakika 5 nakuta ameshafuta.
leo nita download then tutashare aiseeNa nilivyo na bahati mbaya nikipotea dakika 5 nakuta ameshafuta.
Asanteeeleo nita download then tutashare aisee
leo nita download then tutashare aisee

Hivi watu mnajuaje kuwa siku zenu za kuishi zimepunguaKila kitendo cha dhambi ambacho mwadamu hufanya, huondoa sehemu ya upendo wake kwa Mungu ( huondoa sehemu ya maisha ambayo Mungu amempa mwanadamu), dhambi inafanya maisha kuwa mafupi you know.. The good things neema ya Mungu ipo kuturudisha katika pendo letu la kwanza..
Ufunuo wa Yohana 2:4
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza.
Ufunuo wa Yohana 2:5
Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu.
Furahiday njema..![]()


Go and read your bible 🤣🤣🤣🤣🤣 ujue nini kilifanya Mungu apunguze umri wa kuishi wa mwadamu.. na soma utaona nini kitafanya uwe na maisha marefuHivi watu mnajuaje kuwa siku zenu za kuishi zimepungua![]()
The best message I have come across today
Bado hujajibu swali langu! Unajuaje kama umri wa mtu wa kuishi umepungua kwamba labda alitakiwa aishi miaka kadhaa ila kwa sababu fulani akafariki kabla ya wakati?Go and read your bibleujue nini kilifanya Mungu apunguze umri wa kuishi wa mwadamu.. na soma utaona nini kitafanya uwe na maisha marefu
Swali lako sijibu lina mlolongo wa maswali.. ila kama umesoma sunday school jibu lipo clear kabisaBado hujajibu swali langu! Unajuaje kama umri wa mtu wa kuishi umepungua kwamba labda alitakiwa aishi miaka kadhaa ila kwa sababu fulani akafariki kabla ya wakati?
Una mpango wa kuwa mwanasiasa huko mbeleniSwali lako sijibu lina mlolongo wa maswali.. ila kama umesoma sunday school jibu lipo clear kabisa


😎😎😎.. maisha yenyewe haya siasa tupu.. nitoe dinner basi dadaUna mpango wa kuwa mwanasiasa huko mbeleni![]()