Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20220304-061650.jpg
 
Kila kitendo cha dhambi ambacho mwadamu hufanya, huondoa sehemu ya upendo wake kwa Mungu ( huondoa sehemu ya maisha ambayo Mungu amempa mwanadamu), dhambi inafanya maisha kuwa mafupi you know ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ.. The good things neema ya Mungu ipo kuturudisha katika pendo letu la kwanza..

Ufunuo wa Yohana 2:4
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza.

Ufunuo wa Yohana 2:5
Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu.

Furahiday njema.. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Si unajua mtu akiwa kapita pita darasani akiamua kuwa tapeli.. namna anavyokuwa mkali.. Reference : Nigerian ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† I knowww...utapeli wa kisomi ๐Ÿ‘Š๐Ÿพ๐Ÿ‘Š๐Ÿพ

Ila ndugu zetu hao ni moto wa kuotea mbali! Nikienda kwao next month inabidi niwe nimechangamka nisije nikarudi sijielewi ๐Ÿฅด
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† I knowww...utapeli wa kisomi ๐Ÿ‘Š๐Ÿพ๐Ÿ‘Š๐Ÿพ

Ila ndugu zetu hao ni moto wa kuotea mbali! Nikienda kwao next month inabidi niwe nimechangamka nisije nikarudi sijielewi ๐Ÿฅด
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Wanaweza wakakuiba na weweee... sinza siku hizi wa Nigeria wamekuwa wengi sana.. sijui kuna nini tu hapi
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Wanaweza wakakuiba na weweee... sinza siku hizi wa Nigeria wamekuwa wengi sana.. sijui kuna nini tu hapi
Na hawashindwi wale ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Michongo probably! Si wanasemaga Sinza ndo wanapoishi watoto wa mjini ๐Ÿ˜
Ndo wamekutana sasa ๐Ÿ˜
 
Na hawashindwi wale ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Michongo probably! Si wanasemaga Sinza ndo wanapoishi watoto wa mjini ๐Ÿ˜
Ndo wamekutana sasa ๐Ÿ˜
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ sasa hao watoto wa mjini mbona wanapigwa kweli kweli nao na watu waliozaliwa mjini.. ujue kuna kuwa mtoto wa mjini na kuna kuzaliwa mjini
 
Back
Top Bottom